Hakuna Mungu Kama Wewe — Swahili worship song lyrics and chords
Hakuna Mungu Kama Wewe (Swahili)
Hakuna Mungu kama Wewe
Hakuna Mungu kama Wewe
Hakuna Mungu kama Wewe
Hakuna na hata kuwepo
Nimetembea kote kote
Nimetafuta kote kote
Nimezunguka kote kote
Hakuna na hata kuwepo
Hakuna Wakaita SaJesu (Shona)
Hakuna Wakaita sa Jesu
Hakuna wakaita saye
Hakuna Wakaita sa Jesu
Haku hakuchina
Ndamhanya mhanya
Kwese kwese
Ndatenderera
Kwese kwese
Ndatsvaga tsvaga
Kwese kwese
Haku hakuchina
Akekho ofana No Jesu (Zulu)
Akekho ofana no Jesu
Akekho ofana Naye
Akekho ofana no Jesu
Akekho ofana Naye
Siyahamba, hamba
Akekho akekho
Siyafuna, funa,
Akekho akekho
Siyajika, Jika
Akekho akekho
Akekho ofana Naye