Siku Ya Furaha — Swahili worship song lyrics and chords
Siku Ya Furaha (Swahili)
Siku ya furaha ni leo
Ni Leo
Wakati wa furaha ni sasa
Ni Sasa
Ndugu yangu ufurahi
Hata mimi nafurahi
Utukufu wa Bwana unashuka
Utukufu apewe Bwana
Aliyepokea mamlaka
Asifiwe, Bwana Yesu
Milele ndiye Bwana