Katika Nyumba ya BwanaSwahili worship song lyrics and chords

Katika Nyumba ya Bwana (Swahili)


Katika nyumba ya Bwana
Kuna nguvu ya ajabu


Katika nyumba ya Bwana
Kuna uweza wa ajabu


Jehova
Uinuliwe, Utukuzwe

Jehova
Pekee yako Wastahili
Home Songs Katika Nyumba ya Bwana
SwahiliOriginal
Katika Nyumba ya Bwana
Unknown · Tanzania
KeyF
TempoFast
TypeContemporary
Transpose0
Verse 1
Katika nyumba ya Bwana
Kuna nguvu ya ajabu
Verse 2
Katika nyumba ya Bwana
Kuna uweza wa ajabu
Chorus
Jehova
Uinuliwe, Utukuzwe
Jehova
Pekee yako Wastahili